Kum. 30:2 SUV

2 nawe utakapomrudia BWANA, Mungu wako, na kuitii sauti yake, mfano wa yote nikuagizayo leo, wewe na wanao, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote;

Kusoma sura kamili Kum. 30

Mtazamo Kum. 30:2 katika mazingira