Kum. 30:6 SUV

6 BWANA, Mungu wako, atautahiri moyo wako, na moyo wa uzao wako, ili umpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, upate kuwa hai.

Kusoma sura kamili Kum. 30

Mtazamo Kum. 30:6 katika mazingira