Kum. 31:14 SUV

14 BWANA akamwambia Musa, Tazama, siku zako za kufa zinakaribia, umwite Yoshua, nanyi mkajihudhurishe katika hema ya kukutania, ili nipate kumwagiza kazi. Musa na Yoshua wakaenda, wakajihudhurisha ndani ya hema ya kukutania.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:14 katika mazingira