Kum. 31:23 SUV

23 Akamwagiza Yoshua, mwana wa Nuni, akamwambia, Uwe hodari na moyo mkuu, kwa kuwa utawapeleka wana wa Israeli katika nchi niliyowaapia; nami nitakuwa pamoja nawe.

Kusoma sura kamili Kum. 31

Mtazamo Kum. 31:23 katika mazingira