Kum. 32:11 SUV

11 Mfano wa tai ataharikishaye kioto chake;Na kupapatika juu ya makinda yake,Alikunjua mbawa zake, akawatwaa,Akawachukua juu ya mbawa zake;

Kusoma sura kamili Kum. 32

Mtazamo Kum. 32:11 katika mazingira