Kum. 32:22 SUV

22 Maana, moto umewashwa kwa hasira yangu,Unateketea hata chini ya kuzimu,Unakula dunia pamoja na mazao yake,Unaunguza misingi ya milima.

Kusoma sura kamili Kum. 32

Mtazamo Kum. 32:22 katika mazingira