Kum. 33:17 SUV

17 Mzaliwa wa kwanza wa ng’ombe wake mume, enzi ni yake;Na pembe zake ni pembe za nyati;Kwa hizo atayasukuma mataifa yote, hata ncha za nchi;Nao ni makumi ya maelfu ya Efraimu,Nao ni maelfu ya Manase.

Kusoma sura kamili Kum. 33

Mtazamo Kum. 33:17 katika mazingira