Kum. 33:21 SUV

21 Akajichagulia sehemu ya kwanza,Kwani ndiko lilikowekwa fungu la mtoa-sheria;Akaja pamoja na wakuu wa watu,Akaitekeleza haki ya BWANA,Na hukumu zake kwa Israeli.

Kusoma sura kamili Kum. 33

Mtazamo Kum. 33:21 katika mazingira