Kum. 34:9 SUV

9 Na Yoshua, mwana wa Nuni, alikuwa amejaa roho ya hekima; maana Musa alikuwa amemwekea mikono yake juu yake; wana wa Israeli wakamsikiliza, wakafanya kama BWANA alivyomwamuru Musa.

Kusoma sura kamili Kum. 34

Mtazamo Kum. 34:9 katika mazingira