Kum. 4:1 SUV

1 Na sasa, Ee Israeli, zisikilizeni amri na hukumu niwafundishazo, ili mzitende; mpate kuishi na kuingia na kuimiliki nchi awapayo BWANA, Mungu wa baba zenu.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:1 katika mazingira