Kum. 4:23 SUV

23 Jihadharini nafsi zenu, msije mkalisahau agano la BWANA, Mungu wenu, alilolifanya nanyi, mkajifanyia sanamu ya kuchonga, mfano wa umbo la kitu cho chote ulichokatazwa na BWANA, Mungu wenu,

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:23 katika mazingira