Kum. 4:25 SUV

25 Utakapozaa wana, na wana wa wana, mkisha kuwa katika nchi siku nyingi, mkajiharibu na kufanya sanamu ya kuchonga kwa umbo la kitu cho chote, mkafanya ambayo ni maovu machoni pa BWANA, Mungu wako, na kumtia hasira;

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:25 katika mazingira