Kum. 4:3 SUV

3 Macho yenu yameona aliyoyatenda BWANA kwa sababu ya Baal-peori; maana wote waliomfuata Baal-peori, BWANA, Mungu wako, amewaangamiza kutoka kati yako.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:3 katika mazingira