Kum. 4:36 SUV

36 Kutoka mbinguni amekusikizisha sauti yake, ili akufundishe; na juu ya nchi alikuonyesha moto wake mkuu; ukasikia maneno yake toka kati ya moto.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:36 katika mazingira