Kum. 4:42 SUV

42 ili kwamba amwuaye mtu apate kukimbilia huko, amwuaye jirani yake pasipo kujua, wala hakumchukia tangu hapo; ili apate kuishi akimbiliapo mmojawapo miji hiyo;

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:42 katika mazingira