Kum. 4:46 SUV

46 ng’ambo ya Yordani, katika bonde lililoelekea Beth-peori, katika nchi ya Sihoni mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni ndiye aliyepigwa na Musa na wana wa Israeli, walipotoka Misri;

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:46 katika mazingira