Kum. 4:6 SUV

6 Zishikeni basi, mkazitende, maana hii ndiyo hekima yenu na akili zenu, machoni pa mataifa watakaozisikia amri hizi zote, nao watasema, Hakika taifa hili kubwa ni watu wenye hekima na akili.

Kusoma sura kamili Kum. 4

Mtazamo Kum. 4:6 katika mazingira