Kum. 5:16 SUV

16 Waheshimu baba yako na mama yako; kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

Kusoma sura kamili Kum. 5

Mtazamo Kum. 5:16 katika mazingira