Kum. 5:21 SUV

21 Wala usimtamani mke wa jirani yako; wala usiitamani nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala kitu cho chote alicho nacho jirani yako.

Kusoma sura kamili Kum. 5

Mtazamo Kum. 5:21 katika mazingira