Kum. 5:31 SUV

31 Lakini wewe, simama hapa karibu nami, nami nitanena nawe sheria zote, na amri na hukumu, utakazowafunza, wapate kuzifanya katika nchi niwapayo kuimiliki.

Kusoma sura kamili Kum. 5

Mtazamo Kum. 5:31 katika mazingira