Kum. 5:9 SUV

9 Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Kusoma sura kamili Kum. 5

Mtazamo Kum. 5:9 katika mazingira