Kum. 6:15 SUV

15 kwani BWANA, Mungu wako, aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu; isije ikawaka juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka juu ya uso wa nchi.

Kusoma sura kamili Kum. 6

Mtazamo Kum. 6:15 katika mazingira