Kum. 7:16 SUV

16 Nawe angamiza mataifa yote atakayokupa BWANA, Mungu wako; jicho lako lisiwahurumie, wala usiitumikie miungu yao; kwani litakuwa ni mtego kwako jambo hilo.

Kusoma sura kamili Kum. 7

Mtazamo Kum. 7:16 katika mazingira