Kum. 7:22 SUV

22 Naye BWANA, Mungu wako, atayatupia nje mataifa yale mbele yako kidogo kidogo; haikupasi kuwaangamiza kwa mara moja, wasije wakaongezeka kwako wanyama wa mwitu.

Kusoma sura kamili Kum. 7

Mtazamo Kum. 7:22 katika mazingira