Kum. 7:24 SUV

24 Na wafalme wao atakutilia mkononi mwako, nawe utalipoteza jina lao litoke chini ya mbingu; hapana mtu atakayeweza kusimama mbele yako, hata utakapokwisha kuwaangamiza.

Kusoma sura kamili Kum. 7

Mtazamo Kum. 7:24 katika mazingira