Kum. 7:5 SUV

5 Lakini watendeni hivi; zivunjeni madhabahu zao zibomosheni nguzo zao, yakateni maashera yao, ziteketezeni kwa moto sanamu zao za kuchonga.

Kusoma sura kamili Kum. 7

Mtazamo Kum. 7:5 katika mazingira