20 Kama vile mataifa yale ambayo BWANA anawaangamiza mbele yenu, ndivyo mtakavyoangamia; kwa sababu hamkutaka kuisikiliza sauti ya BWANA, Mungu wenu.
Kusoma sura kamili Kum. 8
Mtazamo Kum. 8:20 katika mazingira