9 nchi utakayokula mikate humo, pasina shida, hutapungukiwa na kitu ndani yake; nchi ambayo mawe yake ni chuma, na milima yake yafukuka shaba.
Kusoma sura kamili Kum. 8
Mtazamo Kum. 8:9 katika mazingira