Kum. 9:21 SUV

21 Kisha nikaitwaa ile dhambi yenu, huyo ndama mliyemfanya, nikamteketeza kwa moto, nikamponda, nikamsaga tikitiki, hata akawa laini kama vumbi; nikalitupa vumbi lake katika kijito kilichoshuka kutoka mlimani.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:21 katika mazingira