Kum. 9:23 SUV

23 Na wakati alipowatuma BWANA kutoka Kadesh-barnea, akiwaambia, Kweeni mkaimiliki nchi niliyowapa; ndipo mkaasi juu ya maagizo ya BWANA, Mungu wenu, hamkumsadiki wala hamkusikiza sauti yake.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:23 katika mazingira