Kum. 9:26 SUV

26 Nikamwomba BWANA, nikasema, Ee Bwana Mungu, usiwaangamize watu wako, urithi wako, uliowakomboa kwa ukuu wako, uliowatoa Misri kwa mkono wa nguvu.

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:26 katika mazingira