Kum. 9:7 SUV

7 Kumbuka, usisahau ulivyomtia BWANA, Mungu wako, kasirani jangwani; tangu siku uliyotoka nchi ya Misri hata mlipofika mahali hapa, mmekuwa na uasi juu ya BWANA

Kusoma sura kamili Kum. 9

Mtazamo Kum. 9:7 katika mazingira