12 Hakika nitakukusanya, Ee Yakobo, nyote pia;Bila shaka nitawakusanya waliobaki wa Israeli;Nitawaweka pamoja kama kondoo wa Bozra;Kama kundi la kondoo kati ya malisho yao;Watafanya mvumo kwa wingi wa watu;
Kusoma sura kamili Mik. 2
Mtazamo Mik. 2:12 katika mazingira