13 Avunjaye amekwea juu mbele yao;Wamebomoa mahali, wakapita mpaka langoni,Wakatoka nje huko;Mfalme wao naye amepita akiwatangulia,Naye BWANA ametangulia mbele yao.
Kusoma sura kamili Mik. 2
Mtazamo Mik. 2:13 katika mazingira