12 Basi, kwa ajili yenu, Sayuni utalimwa kama shamba lilimwavyo, na Yerusalemu utakuwa magofu; na mlima wa nyumba utakuwa kama mahali palipoinuka msituni.
Kusoma sura kamili Mik. 3
Mtazamo Mik. 3:12 katika mazingira