Mik. 4:1 SUV

1 Lakini itakuwa katika siku za mwisho, ya kwamba mlima wa nyumba ya BWANA utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na watu wa mataifa watauendea makundi makundi.

Kusoma sura kamili Mik. 4

Mtazamo Mik. 4:1 katika mazingira