Mik. 4:7 SUV

7 Nami nitamfanya yeye aliyechechemea kuwa mabaki, na yeye aliyetupwa mbali kuwa taifa lenye nguvu, na BWANA atawamiliki katika mlima Sayuni tangu sasa na hata milele.

Kusoma sura kamili Mik. 4

Mtazamo Mik. 4:7 katika mazingira