8 Na wewe, Ee mnara wa kundi, kilima cha binti Sayuni, utajiliwa; naam, mamlaka ya kwanza yatakuja, ufalme wa binti Yerusalemu.
Kusoma sura kamili Mik. 4
Mtazamo Mik. 4:8 katika mazingira