Mik. 5:7 SUV

7 Na hayo mabaki ya Yakobo yatakuwa kati ya kabila nyingi mfano wa umande utokao kwa BWANA, mfano wa manyunyu katika manyasi; yasiyomngojea mtu, wala kuwakawilia wanadamu.

Kusoma sura kamili Mik. 5

Mtazamo Mik. 5:7 katika mazingira