Mik. 5:6 SUV

6 Nao wataiharibu nchi ya Ashuru kwa upanga, na nchi ya Nimrodi katika malango yake; naye atatuokoa na Mwashuri, atakapoingia katika nchi yetu, na kukanyaga ndani ya mipaka yetu.

Kusoma sura kamili Mik. 5

Mtazamo Mik. 5:6 katika mazingira