Mik. 5:5 SUV

5 Na mtu huyu atakuwa amani yetu; wakati Mwashuri atakapoingia katika nchi yetu, na kuyakanyaga majumba yetu, hapo mtaondokesha wachungaji saba juu yake, na wakuu wanane.

Kusoma sura kamili Mik. 5

Mtazamo Mik. 5:5 katika mazingira