Mik. 7:18 SUV

18 Ni nani aliye Mungu kama wewe, mwenye kusamehe uovu, na kuliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia? Hashiki hasira yake milele, kwa maana yeye hufurahia rehema.

Kusoma sura kamili Mik. 7

Mtazamo Mik. 7:18 katika mazingira