Mik. 7:2 SUV

2 Mtu amchaye Mungu ametoweka, asionekane katika nchi, wala hapana mtu mwenye adili katika wanadamu; wote huotea ili kumwaga damu; kila mtu humwinda ndugu yake kwa wavu.

Kusoma sura kamili Mik. 7

Mtazamo Mik. 7:2 katika mazingira