Mwa. 11:10 SUV

10 Hivi ndivyo vizazi vya Shemu; Shemu alikuwa mtu wa miaka mia akamzaa Arfaksadi miaka miwili baada ya gharika.

Kusoma sura kamili Mwa. 11

Mtazamo Mwa. 11:10 katika mazingira