Mwa. 11:9 SUV

9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

Kusoma sura kamili Mwa. 11

Mtazamo Mwa. 11:9 katika mazingira