4 Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Kusoma sura kamili Mwa. 12
Mtazamo Mwa. 12:4 katika mazingira