Mwa. 13:10 SUV

10 Lutu akainua macho yake, akaliona Bonde lote la Yordani, ya kwamba lote pia lina maji, kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora, lilikuwa kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri hapo unapokwenda Soari.

Kusoma sura kamili Mwa. 13

Mtazamo Mwa. 13:10 katika mazingira