Mwa. 13:9 SUV

9 Je! Nchi hii yote haiko mbele yako? Basi ujitenge nami, nakusihi; ukienda upande wa kushoto, nitakwenda upande wa kuume; ukienda upande wa kuume, nitakwenda upande wa kushoto.

Kusoma sura kamili Mwa. 13

Mtazamo Mwa. 13:9 katika mazingira