Mwa. 13:8 SUV

8 Abramu akamwambia Lutu, Basi, usiwepo ugomvi, nakusihi, kati ya mimi na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wachungaji wako; maana sisi tu ndugu.

Kusoma sura kamili Mwa. 13

Mtazamo Mwa. 13:8 katika mazingira