Mwa. 13:14 SUV

14 BWANA akamwambia Abramu, alipokwisha kutengana na Lutu, Inua sasa macho yako, ukatazame kutoka hapo ulipo, upande wa kaskazini, na wa kusini na wa mashariki na wa magharibi;

Kusoma sura kamili Mwa. 13

Mtazamo Mwa. 13:14 katika mazingira